Shule zafungwa kutokana na wasiwasi wa Kimbunga Freddy
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-03-13
Просмотров: 3030
Описание:
Shule zimefungwa katika wilaya 10 za nchini Malawi kutokana na wasiwasi wa usalama baada ya Kimbunga Freddy kusababisha uharibifu jirani na Msumbiji.
Hata hivyo tayari mvua kubwa iliyonyesha kusini mwa Malawi imesomba barabara na kutatiza uzalishaji wa umeme huku ikitarajiwa kunyesha zaidi katika siku chache zijazo.
#AzamTVUpdates #KimbungaFreddy
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: