Maharusi wacheza wimbo uitwao - Mtafuteni yesu katika ndoa yenu.
Автор: Rutwizo Video
Загружено: 2024-09-22
Просмотров: 9247
Описание: Tazama jinsi maharusi walivyo cheza na kuimba wimbo mzuri usemao kwamba mkitaka kuishi kwa amani na fraha mtafuteni Yesu kwanza ndoa yenu itakua na amani ni wimbo mzuri ulio imbwa na vijana wa kanisa la fpct kijiji cha busunzu wilaya kibondo mkoa wa kigoma Tanzania bwanaharusi na bibi harusi wakashindwa kujizuia waka nyanyuka nao pia kwenda kuungana na vijana wenzao kucheza wimbo huo mwanzo hadi mwisho nakukaribisha kutazama wimbo huu mzuri kisha Subscribe, Like na Comment channel hii ya Rutwizo Video ili uwe mfuatiliaji wangu kupitia channel hii.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: