ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Ziara ya Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Salum Haji Othman kwa Walinda Amani Afrika ya Kati

Автор: MAELEZO TV

Загружено: 2022-09-04

Просмотров: 12788

Описание: ZIARA YA MNADHIMU MKUU WA JWTZ NCHINI CAR
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Salum Haji Othman amefanya ziara maalum katika Kikosi cha walinda amani kutoka Tanzania kinachohudumu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.

Luteni Jenerali Salum Othman akiwa na ujumbe wake wamewasili katika uwanja wa ndege wa Berberati uliopo katika Mkoa wa Mambere Kadei na kupokelewa na Mwenyeji wake Kamanda Kikosi TANBAT 05 Luteni Kanali Adam Hamis Kiza, Maafisa na Askari mbalimbali wanaohudumu katika Ujumbe wa Umoja wa Mataifa, MINUSCA hapa Jamhuri ya Afrika ya kati.

Luteni Jenerali Othman amepokelewa na gwaride la heshima lililoandaliwa na TANZBAT 5 na baadae kupokea taarifa ya utendaji kazi ya Kikosi Kutoka kwa Afisa Mkuu wa Operesheni Meja Amulike Kabale.

Pamoja na mambo mengine Luteni Jenerali Salum Othman amepata wasaa wa kufanya mazungumzo na Kamanda Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi wa Amani – MINUSCA Luteni Jenerali Sidiki Traole yanayolenga utendaji kazi wa Kikundi cha walinda amani wa Tanzania.

Aidha, alipata fursa ya kufanya mazungumzo na maafisa na askari katika ukumbi wa Serengeti ambapo walinda amani hao walionesha ari, hamasa na utayari wa kutekeleza majukumu ya ulinzi wa amani huku wakifata sheria na taratibu za Umoja wa Mataifa, pamoja na za nchi husika.

Katika ziara hiyo Luteni Jenerali Salum Othman ameambatana na Mwambata Jeshi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa nchini marekani Brigedia Generali George Mwita Itang’are, Kanali Ally Juma Ally, Kanali AbdulAziz Rashid, Kanali Mustapha Mussa Hozza, Luteni Kanali Jofrey Clemence Kilyenyi, Meja Mariam Godian Tabaro na Kapteni Hemed Athumani Mwalim.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Ziara ya Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Salum Haji Othman kwa Walinda Amani Afrika ya Kati

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MNADHIMU MKUU WA JWTZ LUTENI JENERALI SALUM OTHMAN AFURAHISHWA NA UJENZI WA NYUMBA 5000 MSOMERA

MNADHIMU MKUU WA JWTZ LUTENI JENERALI SALUM OTHMAN AFURAHISHWA NA UJENZI WA NYUMBA 5000 MSOMERA

Почему война в Украине так затянулась? | Военное время

Почему война в Украине так затянулась? | Военное время

Majenerali 16 JWTZ wastaafu, wataka nidhamu jeshini

Majenerali 16 JWTZ wastaafu, wataka nidhamu jeshini

MAGARI YA KIJESHI YAKUTISHA YENYE SILAHA NZITO ZAKIVITA YAKIPITA KATIKA MAADHIMISHO ZANZIBAR

MAGARI YA KIJESHI YAKUTISHA YENYE SILAHA NZITO ZAKIVITA YAKIPITA KATIKA MAADHIMISHO ZANZIBAR

Meja Jenerali Sibuti aaga JWTZ kwa kumshukuru Amiri Jeshi Mkuu

Meja Jenerali Sibuti aaga JWTZ kwa kumshukuru Amiri Jeshi Mkuu

'SUPRISE' ya MKUU wa MAJESHI na WAZIRI wa ULINZI kwenye HARUSI ya MEJA JENERALI SIBUTI..

'SUPRISE' ya MKUU wa MAJESHI na WAZIRI wa ULINZI kwenye HARUSI ya MEJA JENERALI SIBUTI..

WAZIRI WA ULINZI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MEJA JENERALI GIMONGE (MSTAAFU

WAZIRI WA ULINZI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MEJA JENERALI GIMONGE (MSTAAFU

Wanajeshi wa TANZBATT 5 wakabidhi jukumu la ulinzi wa amani wa UN kwa TANZBATT 6 nchini CAR

Wanajeshi wa TANZBATT 5 wakabidhi jukumu la ulinzi wa amani wa UN kwa TANZBATT 6 nchini CAR

ZUMARI: MNADHIMU MKUU MSTAAFU WA JWTZ  -  ABULRAHMAN SHIMBO - 30/08/2021

ZUMARI: MNADHIMU MKUU MSTAAFU WA JWTZ - ABULRAHMAN SHIMBO - 30/08/2021

Mpambe wa Rais alivyowasilisha bahasha ya siri bungeni

Mpambe wa Rais alivyowasilisha bahasha ya siri bungeni

💥МИНУТУ НАЗАД! ВСУ РАЗНЕСЛИ ВСЕ ШАХЕДЫ! СУПЕРОРУЖИЕ УКРАИНЫ УЖЕ НЕ ОСТАНОВИТЬ! РОССИЯ НА КОЛЕНЯХ!

💥МИНУТУ НАЗАД! ВСУ РАЗНЕСЛИ ВСЕ ШАХЕДЫ! СУПЕРОРУЖИЕ УКРАИНЫ УЖЕ НЕ ОСТАНОВИТЬ! РОССИЯ НА КОЛЕНЯХ!

SHEREHE ZA KUWAAGA MAAFISA JENERALI SITA  MKUU WA MAJESHI AELEZEA  UTAMADUNI WA KUAGANA JESHINI

SHEREHE ZA KUWAAGA MAAFISA JENERALI SITA MKUU WA MAJESHI AELEZEA UTAMADUNI WA KUAGANA JESHINI

Окопный снайпер ⚔️ | Русский фильм 2025 | По мотивам реальных боевых операций военный фильм 2025

Окопный снайпер ⚔️ | Русский фильм 2025 | По мотивам реальных боевых операций военный фильм 2025

GARI JIPYA LA MABEYO ALILOONDOKA NALO, AKABIDHIWA FUNGUO NA MKUU MPYA WA MAJESHI

GARI JIPYA LA MABEYO ALILOONDOKA NALO, AKABIDHIWA FUNGUO NA MKUU MPYA WA MAJESHI

Ifahamu Historia ya Mkuu wa Majeshi Jenerali Jacob Mkunda | Rais Amtunuku Nishati ya Miaka 60 JWTZ

Ifahamu Historia ya Mkuu wa Majeshi Jenerali Jacob Mkunda | Rais Amtunuku Nishati ya Miaka 60 JWTZ

HISTORIA FUPI YA MEJA JENERAL ALFRED KAPINGA

HISTORIA FUPI YA MEJA JENERAL ALFRED KAPINGA

HISTORIA YA KUSISIMUA YA HAYATI LUTENI JENERALI MWAKILINDILE TANGU AANZE JESHI MPAKA UMAUTI KUMKUTA

HISTORIA YA KUSISIMUA YA HAYATI LUTENI JENERALI MWAKILINDILE TANGU AANZE JESHI MPAKA UMAUTI KUMKUTA

Tamko la JWTZ Juu ya Wanajeshi 14 Waliouawa Congo DR

Tamko la JWTZ Juu ya Wanajeshi 14 Waliouawa Congo DR

MKUU WA MAJESHI APIGIWA SHANGWE BUNGENI, BARUA YAKE YA KUSTAAFU YATAJWA NA SPIKA

MKUU WA MAJESHI APIGIWA SHANGWE BUNGENI, BARUA YAKE YA KUSTAAFU YATAJWA NA SPIKA

Utapenda! Mkuu wa Majeshi na Waziri wa Ulinzi walivyoibuka kwenye Harusi ya Meja Jenerali Sibuti

Utapenda! Mkuu wa Majeshi na Waziri wa Ulinzi walivyoibuka kwenye Harusi ya Meja Jenerali Sibuti

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]