Wahome Mutahi "Whispers" akumbukwa
Автор: KTN News Kenya
Загружено: 2013-07-20
Просмотров: 2454
Описание:
Ni miaka kumi sasa tangu kenya kumpoteza, wahome mutahi kwa jina maarufu, whispers, ambaye uandishi wake uliwaacha wengi wakivunjika mbavu kwa usheshi. Kwa utani wake aliwapa hata majina ya utani familia yake, wanawe ilikuwa ni pajero, investment na junior. Mkewe alikuwa ni Thatcher. Whispers alikufa baada ya kufanyiwa upasuaji wa kutoa uvimbe shingoni na hadi leo familia yake inamlaumu daktari mhusika. Ktn ilipata fursa ya kuzungumza na mamake Octavia Muthoni, nyumbani kwake huko tetu, kaunti ya nyeri. Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv
Follow us on / ktnkenya
Like us on / ktnkenya
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: