Kwa Nini Ndoto Zako Hujirudia rudia? Siri, Tafsiri na Hatua za Kuchukua
Автор: Apostle Deusi Sengo
Загружено: 2025-09-09
Просмотров: 8290
Описание:
Je, umewahi kuota ndoto ile ile mara kwa mara? Katika video hii utagundua sababu kuu kwa nini ndoto hujirudia, tafsiri yake ya kiroho, na hatua unazoweza kuchukua ili kuelewa ujumbe wake.
📖 Ayubu 33:14-15 — “Kwa maana Mungu hunena mara moja, naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali.”
---
⏱ TIMESTAMPS:
0:00 – Utangulizi: Mada ya ndoto zinazojirudia
0:25 – Sababu ya 1: Mungu anathibitisha ujumbe
2:00 – Sababu ya 2: Ndoto inakwenda kutimia upesi
2:46 – Sababu ya 3: Ndoto imebeba onyo muhimu
3:20 – Sababu ya 4: Bado hujaitendea kazi
4:19 – Sababu ya 5: Kuthibitisha wito au huduma yako
4:50 – Sababu ya 6: Kufunua siri ya kiroho
5:20 – Hitimisho
---
#mahubiri #nenolamungu #mahusiano #shooldreams #ndoto
#NdotoZinazojirudia #TafsiriYaNdoto #MaishaYaKiroho #UfunuoWaNdoto
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: