Chalamila atangaza JANUARI 23,24 siku ya USAFI Dar es Salaam, mkiona wanajeshi barabarani msiogope
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-01-13
Просмотров: 2705
Описание:
Mkoa wa Dar es Salaaam, umetangaza kuwa Januari 23 na 24 itakuwa siku ya usafi itakayoshirikisha vyombo mbalimbali vya dola ikiwa ni mikakati ya kupambana na ugonjwa wa kipindupindu.
Hayo yamesemwa leo Jumamosi Juanuari 13 na Mkuu wa Mkoa huo, Albert Chalamila, aliposhiriki ibada ya kuwekwa Wakfu Mwangalizi wa Jimbo la Babtist la Dar es Salaam, Makamu , Katibu, Katibu Msaidizi, Mhasibu na Mhasibu Msaidizi.
Amesema kuwa shughuli hiyo ya usafi itafanyika hadi saa 12 jioni na kutokana na hilo, amewatoa hofu wananchi watakapoona vyombo hivyo vya dola mtaani wasiogope kwa kuwa watakuwa wanashiriki kufanya usafi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: