Mamia ya waombolezaji waungana na familia kuomboleza waathiriwa sita wa ajali ya ndege
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-03-04
Просмотров: 2874
Описание: Mamia ya waombolezaji wakiwemo viongozi wa serikali, waliungana na familia ya waathiriwa sita wa ajali ya helikopta kuomboleza na kutoa heshima zao za mwisho. Kwenye ibada ya wafu ya pamoja iliyofanyika katika kanisa la agc karen, huzuni na majonzi zilihanikiza kote huku familia na viongozi wakiwakumbuka walioaga dunia ghafla kwa masikitiko makubwa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: