Muungano wa upinzani waendeleza mikutano ya kisiasa Gusii, washutumu serikali
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-25
Просмотров: 10788
Описание: Kwa siku ya tatu, muungano wa upinzani umeendeleza mikutano yake ya kisiasa katia eneo la Gusii, huku ikiendelea kupigia debe umoja wao katika uchaguzi mkuu ujao. Wanasiasa hawa wakiongozwa na Kinara wa DCP Rigathi Gachagua, Kalonzo Musyoka wa Wiper na naibu kinara wa Jubilee Fred Matiang'i wakiilaumu serikali kwa kile wamesema ni kushindwa kutimiza ahdi zake kwa wakenya, miezi 17 kabla ya uchaguzi mwingine
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: