MAZIKO ya MSTAAFU MKULO KIJIJINI KWAO KILOSA - LUKUVI - PROFESA KABUDI WASHIRIKI...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2024-05-06
Просмотров: 2124
Описание:
MAZIKO ya MSTAAFU MKULO KIJIJINI KWAO KILOSA - LUKUVI - PROFESA KABUDI WASHIRIKI...
Aliyekua waziri wa fedha na mbunge Jimbo la kilosa (2005_2015) marehemu Mustapha Mkulo tayr amezikwa Kijiji kwao Kimamba B Wilaya ya kilosa Mkoa Morogoro
Mkulo alifariki mei 3 mwaka huu jiji dar na kuzikwa mei 5 mwaka huuo Kijiji kwao ambapo Viongozi mbalimbali wamehuduria katika mazishi yake akiwemo mbunge wa Ismani William Lukuvi ,Mbunge wa kilosa Prof.Palamagamba Kabudi ,Mkuu wa mkoa Morogoro Adam Malima,Mkuu wilaya kilosa Shaka Hamdu Shaka,
George mkuchika,Ridhiwan Kikwete ambapo kwa nyakati tofauti waneelza namna wanavyomfahamu marehemu
. Kwa Upande wake mtoto wa marehemu aliyefahamika Kwa jina la Ahmed Mustapha Mkulo amesema ataendeleza yote aliacha baba yake ikiwemo kutoa misaada Kwa makundi mbalimbali wilayani humo kama alivyokua akifanya baba yake
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: