UJULIKANE | Cover by Ade Chris ft. International Choir Nairobi
Автор: ADE CHRIS
Загружено: 2026-02-17
Просмотров: 159
Описание:
Wimbo: Ujulikane 🙏
Hii ni cover maalum niliyoimba nikiwa pamoja na International Choir – Nairobi. Ni wimbo wa kumtukuza Mungu na kutangaza utukufu wake ujulikane mataifa yote.
Huduma hii imejaa uwepo wa Mungu, umoja, na upendo wa kweli wa ibada. Tunaomba kila atakayesikiliza abarikiwe, aguswe moyo na jina la Bwana lijulikane zaidi kupitia wimbo huu.
Usisahau:
👍 Like
💬 Comment
🔁 Share
🔔 Subscribe kwa nyimbo na huduma zaidi.
Mungu awabariki sana 🙌
#AdeChris #chrisadelard #Ujulikane #GospelMusic #InternationalChoirNairobi #Worship #Praise
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: