Yanga SC 4-1 KMC FC | Highlights | NBC Premier League 09/11/2025
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-11-10
Просмотров: 53920
Описание:
Magoli mawili kutoka kwa Andy Boyeli na mengine kutoka kwa Pacome Zouzoua na Maxi Nzengeli yameipa Yanga ushgindi wa 4-1 dhidi ya KMC kwenye Dimba la KMC Complex,
Ni mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Jumapili Novemba 9 na kushuhudia KMC wakipata bao lao pekee kupitia kwa Darueshi Saliboko, akimalizia mpira wa free-kick uliotemwa na golikipa wa Yanga, Djigui Diarra.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: