MWILI WA MWADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO WAZIKWA PUGU, TANZANIA
Автор: Focus News Tanzania Tv 1
Загружено: 2026-02-28
Просмотров: 106
Описание:
MWILI WA MWADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO WAZIKWA PUGU, TANZANIA
Hatimaye Mwili wa Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, umezikwa katika Kituo cha Hija cha Pugu, jijini Dar es salaam, Tanzania.
Kardinali Pengo alizikwa ndani ya kanisa dogo lililopo katika kituo hicho, katika ibada iliyohudhuriwa na viongozi wa serikali, waumini na wananchi mbalimbali.
#focusnewstanzaniatv1 #romancatholic #tanzania #PolycarpKardinaliPengo #yanga #simba
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: