ASKOFU KKKT ALAZIMIKA KUWAOMBA MSAMAHA WAUMINI
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2018-02-05
Просмотров: 352065
Описание:
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Mashariki, Dk Lucas Mbedule amewaomba msamaha washarika wa kanisa kuu la Mtwara juu ya tuhuma ambazo amekuwa akituhumiwa ili wasiliumize kanisa .
Baadhi ya waumini wa kanisa hilo wamekuwa na mgogoro na kumpinga askofu huyo kwa takribani miaka miwili hali iliyowalazimu kumwomba Askofu Mkuu wa KKKT, Dk Fredrick Shoo kwenda kuzungumz nao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: