UNAPOKEA ZAWADI GANI KUTOKA KWA NANI?? // KUKATAA SIO DHAMBI
Автор: SIRI ZA BIBLIA
Загружено: 2023-03-07
Просмотров: 11294
Описание:
Zawadi nyingi sana huja katika nyakati za uhitaji,na ndiyo maana watu wengi wamejikuta wanaanguka na kuharibu makusudi ya Mungu ndani ya maisha yao sababu ya kusikiliza sauti ya uhitaji wao badala ya kutambua nyuma ya zawadi kipindi cha uhitaji kuna nini nyuma yake.
2 Wafalme 5:26,27
26 Akamwambia, Je! Moyo wangu haukuenda na wewe, hapo alipogeuka yule mtu katika gari ili akulaki? Je! Huu ndio wakati wa kupokea fedha, na kupokea mavazi, na mashamba ya mizeituni, na mizabibu, na kondoo, na ng'ombe, na watumwa, na wajakazi?
27 Basi ukoma wa Naamani utakushika wewe, na wazao wako hata milele. Naye akatoka usoni pake mwenye ukoma kama theluji.
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
https://linktr.ee/sirizabiblia
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: