RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA BALOZI JOHN WILLIAM KIJAZI , VIWANJA VYA KAREEM JEE.
Автор: Ikulu Tanzania
Загружено: 2021-02-18
Просмотров: 42547
Описание: Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo akiwa katika ibada ya kuaga mwili wa aliekua Katibu mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John William Kijazi aliefariki tarehe 17 Februari katika Hospatali ya Benjamin Mkapa mkoani Dodoma, Mwili wa Balozi Kijazi utasafirishwa leo mara baada ya ibada ya kuagwa na heshima za mwisho na anatarajiwa kuzikwa leo kijijini kwake Korogwe mkoani Tanga
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: