Kundi la Wananchi 818 limewasili Msomera, watoa sababu ya kuhama
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-01-27
Просмотров: 681
Описание:
Jumla ya Kaya 118 sawa na watu 818 wamewasili katika kijiji cha Msomera wilaya ya Handeni ikiwa ni muendelezo wa wananchi hao kupisha shughuli za uhifadhi katika eneo la Ngorongoro.
Akizungumza wakati wa kukabidhi kaya hizo kwa uongozi wa wilaya ya Handeni, afisa tarafa ya Ngorongoro Bahati Mfungo amesema wananchi hao wamesafirishwa pamoja na mifugo yao 3,129.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: