Hadithi ya Shujaa Will na Genie | Hadithi Za Kiswahili Mpya 2020 | kiSwahili Fairy Tales
Автор: Edewcate Swahili
Загружено: 2019-08-01
Просмотров: 269177
Описание:
Hadithi ya Shujaa Will na Genie | Brave Will and Genie Story in Swahili |
Katuni za Kiswahili | Hadithi za Kiswahili za Watoto | Swahili Fairy Tales NEW
Kulikuwa na kijiji chenye mazao na watu wazuri.
Kwenye kijiji hicho kulikuwa na mvulana mdogo mwenye umri wa miaka sita aliyeitwa Will.
Alikuwa mwema, mwenye busara na wa kujali sana
Wazazi wake na walimu walijivunia kuwa na mvulana mwenye tabia nzuri na busara.
Will alikuwa na rafiki aliyeitwa Jack.
Will na Jack walithaminiwa na wazazi wao kwa sababu ya urafiki wao.
Walienda shuleni pamoja na kurudi.
Kama kila siku Will na Jack walikuwa wakirudi toka shuleni
Walifika nyumbani, kwa akina Jack na
Will: Kwaheri Jack! Tutaonana kesho.
Will aliendelea kutembea kuelekea kwao huku akiimba wimbo wake anaoupenda sana.
Please Subscribe for more videos and stories like this:
http://www.youtube.com/c/EdewcateSwah...
#HadithizaKiswahili #SwahiliFairyTales
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: