MWANAUME BAHILI JINSI YA KUISHI NAYE / MBINAFSI, AMBAYE HATAKI KUHUDUMIA
Автор: Story za mapenzi na mahusiano
Загружено: 2026-01-19
Просмотров: 327
Описание:
Je, unaishi na mwanaume ambaye ana pesa lakini ni mgumu kutoa matumizi? Je, unajihisi kama ombaomba ndani ya ndoa yako mwenyewe? 💔
Kwenye video ya leo, Roy anakufundisha Jinsi ya Kuishi na Mwanaume Bahili, Mbinafsi na Asiyetaka Kuhudumia Familia.
Ubahili sio umaskini. Ubahili ni tabia ya kuzuia rasilimali hata pale ambapo mtu anazo. Wanawake wengi wanateseka kimya kimya, wanadhalilika kuomba hela ya chumvi, na wengine wanafikia hatua ya kuacha kazi wakiamini mume atahudumia, kumbe ndio wanajichimbia kaburi.
Katika video hii utajifunza:
✅ Mbinu 6 za "Kijeshi" za kuishi na mwanaume bahili bila kuumia kwa presha.
✅ Kwa nini hupaswi kamwe kuacha kazi au biashara yako.
✅ Jinsi ya "Kuficha" pesa zako kama yeye anaficha zake.
✅ Namna ya kubadilisha matumizi ili kumlazimisha awajibike.
✅ Dalili 9 za wazi za mwanaume bahili (Mpare/Mbinafsi) unazopaswa kuzijua.
⚠️ ONYO: Ushauri huu ni kwa ajili ya wanawake waliochoka kunyanyasika na wanataka kuchukua hatua kulinda mustakabali wao na wa watoto wao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: