Mgombea urais wa Chadema kupitia UKAWA apokelewa kwa kishindo Mwanza.
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2015-10-13
Просмотров: 4269
Описание: Jiji la kibiashara la Mwanza limejikuta likisimamisha shughuli zake zote kupisha mkutano mkubwa wa hadhara uliokuwa ukiongozwa na mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Edward Lowassa huku zaidi ya wananchi 130 wakizimia.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: