Iran: Maandamano ya kuunga mkono serikali yafanyika Tehran
Автор: RFI Kiswahili
Загружено: 2026-01-12
Просмотров: 903
Описание:
#iranprotests2026 #iranusa #tehran
Wakati huu idadi ya vifo vya waandamanaji nchini #iran ikitajwa kufikia zaidi ya 600, utawala wa nchi hiyo nao umeitisha maandamano makubwa kutaka kuonesha kuwa raia wanaiunga mkono Serikali, wakati huu pia Tehran ikiionya Marekani dhidi ya mpango wowote wa kuishambulia.
Lakini je, kuna uwezekano wowote wa Marekani kushambulia Iran? Dominic Wabala ni mtaalamu wa masuala ya usalama akiwa Kenya anachambua.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: