ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

YANGA SC 1-2 PYRAMIDS FC: FULL HIGHLIGHTS (CAF CC - 27/10/2019)

Автор: Azam TV

Загружено: 2019-10-27

Просмотров: 595487

Описание: Wawakilishi pekee wa Tanzania kimataifa Yanga SC wamepokea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Pyramids FC kutoka Misri katika mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya mtoano kombe la shirikisho barani Afrika uliopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Wageni Pyramids ndiyo waliotangulia kupata magoli kupitia kwa Erick Traory dakika ya 43 na Abdallah Saied dakia ya 63, na Yanga kujipatia bao lao pekee dakika ya 88 kupitia kwa Papy Tshishimbi.

Mara baada ya mchezo huo, Yanga imesema waamuzi wa mchezo wa leo wamechangia kwa kiasi kikubwa wao kupoteza mbele ya wageni wao baada ya kuonesha upendeleo kwa wageni wao Pyramids FC.

Mwandila amesema hata wao kumaliza pungufu kwa beki wao Kelvin Yondani kulambwa kadi nyekundu dakika ya 90 kumetokana na mapungufu ya waamuzi.

Lakini kwa wapinzani wao Pyramids FC wameshangazwa na uamuzi wa wenyeji wao kuamua mechi ichezwe kwenye Uwanja wa CCM Kirumba.

Wawili hao watarudiana wiki ijayo jijini Cairo kabla ya mshindi wa jumla kuingia hatua ya makundi ya michuano hiyo.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
YANGA SC 1-2 PYRAMIDS FC: FULL HIGHLIGHTS (CAF CC - 27/10/2019)

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

KIPYENGA CHA MWISHO |  05/03/2026 Maamuzi tata mechi ya Yanga vs Simba (0-0) Zanzibar

KIPYENGA CHA MWISHO | 05/03/2026 Maamuzi tata mechi ya Yanga vs Simba (0-0) Zanzibar

SZLI PO TRUPACH: 10 Legend PRL, które niszczyły rywali donosami do władz

SZLI PO TRUPACH: 10 Legend PRL, które niszczyły rywali donosami do władz

ALLY KAMWE ANATOA TAMKO ZITO WAIANDIKIA BARUA BODI YA LIGI KISA BAO SIMBA, MWALIMU ALITAKIWA MECHI 5

ALLY KAMWE ANATOA TAMKO ZITO WAIANDIKIA BARUA BODI YA LIGI KISA BAO SIMBA, MWALIMU ALITAKIWA MECHI 5

Singida Big Stars 0-3 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/03/2026

Singida Big Stars 0-3 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/03/2026

Panika w Rosji. FSB ruszyło z ARESZTAMI. Putin dostał TECZKĘ. Wzięli GENERAŁA. To WYROK dla Szojgu

Panika w Rosji. FSB ruszyło z ARESZTAMI. Putin dostał TECZKĘ. Wzięli GENERAŁA. To WYROK dla Szojgu

Dlaczego TRUMP NIE WYGRA z IRANEM? Wybory w USA, Akta Epsteina i CHAOS #BizON

Dlaczego TRUMP NIE WYGRA z IRANEM? Wybory w USA, Akta Epsteina i CHAOS #BizON

🔴#LIVE:SIMBA SC (2) (0) B 19 FC (CRDB FEDERATION CUP)

🔴#LIVE:SIMBA SC (2) (0) B 19 FC (CRDB FEDERATION CUP)

VITASA | Ibra Classic aeleza sakata la kukata rufaa WBC

VITASA | Ibra Classic aeleza sakata la kukata rufaa WBC

Korowaj & Meissner - Putin pod ścianą. Coraz bardziej się boi o własne plecy.

Korowaj & Meissner - Putin pod ścianą. Coraz bardziej się boi o własne plecy.

📺🔴LIVE: SWALATUL ISHAAI NA TARAWEH || DAY 19 || MASJID YUSUF MIGADINI || RAMADHAN 2026 /1447AH

📺🔴LIVE: SWALATUL ISHAAI NA TARAWEH || DAY 19 || MASJID YUSUF MIGADINI || RAMADHAN 2026 /1447AH

Tanzania Prisons 0-0 Azam FC |Highlights |NBCPL 05/03/2026

Tanzania Prisons 0-0 Azam FC |Highlights |NBCPL 05/03/2026

KURASA ZA MWISHO 07/03/2026 | Mjadala wa VAR kwenye soka, Wachambuzi waeleza adhabu kwa waamuzi

KURASA ZA MWISHO 07/03/2026 | Mjadala wa VAR kwenye soka, Wachambuzi waeleza adhabu kwa waamuzi

ZDOBYWAM BRAINROTY ALE CO SEKUNDĘ JESTEM SZYBSZY w Roblox!

ZDOBYWAM BRAINROTY ALE CO SEKUNDĘ JESTEM SZYBSZY w Roblox!

Wojsko na węgierskich ulicach.

Wojsko na węgierskich ulicach. "Albo wynik, albo stan wyjątkowy"

10 SEKUND vs 1 GODZINA w ZBUDUJ BRAINROTA z WOJANEK 67 w Minecraft!

10 SEKUND vs 1 GODZINA w ZBUDUJ BRAINROTA z WOJANEK 67 w Minecraft!

FRIJI BOVU ADAI SIMBA NI BORA ZAIDI YA YANGA/ ALIA NA REFA KUWAUMIZA SIMBA

FRIJI BOVU ADAI SIMBA NI BORA ZAIDI YA YANGA/ ALIA NA REFA KUWAUMIZA SIMBA "YANGA HAWANA UWEZO"

NYAVUNI 5 /03/2026 | Magoli 10 bora na 'saves' kali kwenye NBC PL wiki hii

NYAVUNI 5 /03/2026 | Magoli 10 bora na 'saves' kali kwenye NBC PL wiki hii

🔥 Реал Мадрид 5-1 Барселона | Огненное выступление «Реала» 😱 в финале Суперкубка 🏆 2017

🔥 Реал Мадрид 5-1 Барселона | Огненное выступление «Реала» 😱 в финале Суперкубка 🏆 2017

Największe tunele Iranu zawaliły się! 300 000 irańskich żołnierzy UTKNĘŁO bezradnie!

Największe tunele Iranu zawaliły się! 300 000 irańskich żołnierzy UTKNĘŁO bezradnie!

YANGA TV 06/03/2026 | Tambo za mashabiki wa Yanga baada ya 'Dabi ya Kariakoo', Michezo ya Ligi Kuu

YANGA TV 06/03/2026 | Tambo za mashabiki wa Yanga baada ya 'Dabi ya Kariakoo', Michezo ya Ligi Kuu

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]