#MAOMBI_YA_VITA_USIKU_WA_MANANE
Автор: ROHO M TV 111
Загружено: 2026-03-09
Просмотров: 24
Описание:
📺 #maombiyavitausikuwamanane
ROHO M TV 111 ni channel ya Kikristo inayojihusisha na mafundisho ya kina ya Neno la Mungu, maombi ya nguvu, na ibada za ukombozi kwa ajili ya kufungua watu kutoka katika vifungo vya kiroho, laana, mikosi, na kila kazi ya giza.
Kupitia channel hii utapata:
🙏 Maombi ya vita vya kiroho
🌙 Maombi ya usiku wa manane (Midnight Prayers)
⛓️ Ibada za ukombozi na kuvunja vifungo
📖 Mafundisho ya Biblia na Neno la Mungu
⛪ Ibada za kanisani na mikutano ya injili (Live & Recorded)
🔥 Mahubiri yaliyojaa nguvu za Roho Mtakatifu
Lengo la ROHO M TV 111 ni kuamsha, kuimarisha, na kuongoza maisha ya waamini katika ushindi wa kiroho kupitia Yesu Kristo, kwa nguvu za Roho Mtakatifu.
📌 Jiunge nasi kwa:
Ibada live
Mikesha ya maombi
Mikutano ya Neno la Mungu
Huduma ya maombi na ukombozi
👉 Subscribe, Like, Share, na Comment ili kuungana nasi katika huduma hii ya kiroho.
📖 “Ninyi mtaijua kweli, nayo kweli itawaweka huru.” — Yohana 8:32
KWA MAWASILIANO ZAIDI +255 763 53 89 42
NAMBA YA SDAKA M PESA +255 763 53 89 42
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: