ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Tamko la JWTZ Juu ya Wanajeshi 14 Waliouawa Congo DR

Автор: Global TV Online

Загружено: 2017-12-10

Просмотров: 174149

Описание: Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania limesema kikundi chake cha ulinzi na usalama kilichopo DRC kwaajili ya kutekeleza jukumu la ulinzi na amani kilivamiwa na Waasi waliojilikana kuwa ni ADF na kusababisha mauaji kwa wanajeshi 14.

Amesema kwamba tukio hilo lilitokea katika eneo la kambi iliyopo daraja kwenye mto Simulike barabara ya kutokea Oicha kwenda Kamango mpakani mwa nchi ya Uganda Kaskazini Mashariki ya wilaya ya Beni Jimbo la Kivu Kaskazini.

Akithibitisha mauaji hayo muwakilishi wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania (CDF) Luteni Jenerali James Mwakibolwa amesema shambulio hilo lakuvamiwa lilizusha mapigano baina ya kikundi hicho na kile cha waasi na yalidumu kwa takribani masaa kumi na tatu (13) na kusababisha vifo vya askari wa Tanzania 14 na wengine 44 kujeruhiwa na askari wawili bado hawajulikani walipo ambapo jitihada zaidi za kuwatafuta zinaendelea.

Amesema shambulizi la tarehe 7 kuamkia tarehe 8 Desemba lilikua baya zaidi kuwahi kuitokea tangu vikosi hivyo vianze kushiriki ulinzi wa amani nchini DRC mwaka 2011 kwakua limeleta madhara makubwa, hata hivyo kikundi hicho ambacho bado kipo huko kinauwezo mkubwa wa kutekeleza majukumu husika kwa uhodari wa hali ya juu ,ushupavu, weledi mkubwa na umahiri stahiki.

Kwa niaba ya mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Mwakibolwa amewathibitishia watanzania kuwa tukio hilo halitawavunja moyo na kamwe Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania halitatetereka kupeperusha bendera yake ndani na nje ya nchi kwani tukio hilo limewaongezea nguvu, ari ,ushupavu na uhodari zaidi katika kutekeleza majukumu yake.

Aidha amesema nchi pia iko salama na itaendelea kuwa salama na yeyote ambaye anataka kuwajaribu atashughulikiwa ipasavyo kwani historia ya jeshi inadhihirisha uwezo thabiti.

Kuhusu taratibu za kusafirisha miili ya marehemu kuirejesha nchini zinafanyika chini ya utaratibu wa Serikali na umoja wa mataifa na JWTZ na serikali wanaendelea kuchukua hatua stahiki kufuatia tukio hilo ikiwemo kufanya uchunguzi katika eneo husika sambamba na kuangalia taratibu za kuwajulisha familia za wafiwa zimekamilika na ndio maana hawakuweza kutoa taarifa hizo bila kuwaweka sawa familia za mashujaa hao.

Kwa umoja wa watanzania amewataka kuwaombea dua roho za mashujaa hao zipumzike mahali pema peponi kwa amani na majeruhi wote wapone haraka iwezekanavyo ili warejee kutekeleza majukumu yao ya kila siku kwa ulinzi wa taifa na dunia nzima.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Tamko la JWTZ Juu ya Wanajeshi 14 Waliouawa Congo DR

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

EYINDI NA KATANGA: ELIEZER NTAMBWE NA GÉNÉRAL EDDY KAPEND BA SAMBWISI BA CHINOIS🙆‍♂️KABUND TRAÎTRE ?

EYINDI NA KATANGA: ELIEZER NTAMBWE NA GÉNÉRAL EDDY KAPEND BA SAMBWISI BA CHINOIS🙆‍♂️KABUND TRAÎTRE ?

KOCHA YANGA AFUNGUKA DUBE, MZIZE KUIKOSA NAMUNGO/ AAHIDI MAKUBWA KWA MASHABIKI YANGA

KOCHA YANGA AFUNGUKA DUBE, MZIZE KUIKOSA NAMUNGO/ AAHIDI MAKUBWA KWA MASHABIKI YANGA "MTAFURAHI"

Huzuni, Majonzi, Safari ya Mazishi ya Askari wa JWTZ Waliouwawa DRC

Huzuni, Majonzi, Safari ya Mazishi ya Askari wa JWTZ Waliouwawa DRC

Это Открытие на Вершине Горы Изменит Геополитику

Это Открытие на Вершине Горы Изменит Геополитику

JWTZ LADHIBITI MAGAIDI

JWTZ LADHIBITI MAGAIDI

К чему готовится Путин? | Новая война, мобилизация или протесты (English subtitles)

К чему готовится Путин? | Новая война, мобилизация или протесты (English subtitles)

Почему «вагнера» вплотную подходили к украинским позициям? | Крым.Реалии

Почему «вагнера» вплотную подходили к украинским позициям? | Крым.Реалии

Simanzi Kuagwa kwa Miili ya Wanajeshi wa JWTZ Waliouawa, DR CONGO

Simanzi Kuagwa kwa Miili ya Wanajeshi wa JWTZ Waliouawa, DR CONGO

Уникальная немецкая кинохроника штурма Брестской крепости (1941)

Уникальная немецкая кинохроника штурма Брестской крепости (1941)

MZEE AMSHTAKI TAJIRI MOSHI -

MZEE AMSHTAKI TAJIRI MOSHI - "ANA GHOROFA 10 - NYUMBA 20 - AMECHUKUA ENEO LANGU NAISHI kwa DADA"..

BIBI ALIYEGONGWA na GARI la POLISI na KUVUNJIKA PAJA na KUTOKA MENO - POLISI ATOZWA FAINI ya ELFU 60

BIBI ALIYEGONGWA na GARI la POLISI na KUVUNJIKA PAJA na KUTOKA MENO - POLISI ATOZWA FAINI ya ELFU 60

RUBANI MDOGO MTANZANIA ANAYERUSHA NDEGE AFUNGUKA CHANGAMOTO ALIZOKUTANA NAZO AFRIKA KUSINI

RUBANI MDOGO MTANZANIA ANAYERUSHA NDEGE AFUNGUKA CHANGAMOTO ALIZOKUTANA NAZO AFRIKA KUSINI

Kundi la M23 latishia mji wa Goma

Kundi la M23 latishia mji wa Goma

«Командующий – ебл*н», «ФСБ – петушиная контора». Генерал РФ о армии, спецслужбах и убийства пленных

«Командующий – ебл*н», «ФСБ – петушиная контора». Генерал РФ о армии, спецслужбах и убийства пленных

⚡️НОВОСТИ | 7 ПОГИБШИХ НА БАЙКАЛЕ | В МОСКВЕ СОЖГЛИ МАШИНУ ПОЛИЦИИ | ВОЙНА ДО 2029 | ШТРАФ КИРКОРОВУ

⚡️НОВОСТИ | 7 ПОГИБШИХ НА БАЙКАЛЕ | В МОСКВЕ СОЖГЛИ МАШИНУ ПОЛИЦИИ | ВОЙНА ДО 2029 | ШТРАФ КИРКОРОВУ

Санду ОБРАТИЛАСЬ к ВСУ: горячее ВИДЕО! Молдова ВОЗВРАЩАЕТ Приднестровье. Истерическая РЕАКЦИЯ Москвы

Санду ОБРАТИЛАСЬ к ВСУ: горячее ВИДЕО! Молдова ВОЗВРАЩАЕТ Приднестровье. Истерическая РЕАКЦИЯ Москвы

Հայլուր 15։30 Իրանի դեմ պատերազմը հետաձգվո՞ւմ է. Թրամփը ժամանակ է տվել Թեհրանին

Հայլուր 15։30 Իրանի դեմ պատերազմը հետաձգվո՞ւմ է. Թրամփը ժամանակ է տվել Թեհրանին

Goma chini ya udhibiti wa M23, mwaka mmoja baadae | DW Kiswahili

Goma chini ya udhibiti wa M23, mwaka mmoja baadae | DW Kiswahili

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Februari 21, 2026 hai, Kilimanjaro

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Februari 21, 2026 hai, Kilimanjaro

Странности фронта последних недель

Странности фронта последних недель

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]