Dusty Football Passion.
Автор: Alvin Khayumbi
Загружено: 2023-08-08
Просмотров: 72
Описание:
Every weather condition is perfect for enjoying the game of football. For football players and fans alike, nothing can stop them from taking part in the sport. This is a sports (football) based video that gives you an upclose view about part of what happens during a match in the dusty football fields, in Kitengela, Kajiado East constituency, Kajiado county - Kenya. A clear depiction of sporting football passion.
Kila hali ya anga ni bora ya kuburudika na mchezo wa soka. Wachezaji na mashabiki kwa pamoja, hakuna kinachoweza kuwazuia kwenye burudani mchezoni. Video hii ya michezo (soka) inakupa mtazamo wa karibu kuhusiana na yanayotukia mechini katika nyanja zilizosheheni vumbi, mjini Kitengela, eneo bunge la Kajiado Mashariki , kaunti ya Kajiado - Kenya. Uhalisia wa kuienzi kandanda.
Imetayrishwa na Alvin Khayumbi (Mkandamizaji)
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: