Tazama Mbunge ‘AMNG’ATA SIKIO’ Waziri Mchengerwa
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-06-05
Просмотров: 1199
Описание:
Waziri Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa akishukuru wakati Mbunge wa Kiteto, Edward Ole Lekaita alipokuwa akimweleza mambo yatakayomfanya kuwa waziri bora wa wizara hiyo, wakati Bunge likijadili makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2023/2024, jijini Dodoma leo.
Lekaita amesema Mchengerwa akisimamia kauli yake kuwa wahifadhi namba moja ni wananchi na pili kuwa wizara itawapima watu wa hifadhi kutokana na watakachosema wananchi dhidi yao. Amesema akisimamia hayo kutamfanya kuwa waziri bora kwani kutapunguza mahusiano mabaya baina ya wananchi, wanyama porin a maeneo ya hifadhi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: