KAULI YA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA SAKATA LA WAMASAI WA NGORONGORO MBELE YA MAWAZIRI
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2024-08-22
Просмотров: 3649
Описание:
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Askofu Wolfgang Pisa amewaomba serikali kukaa meza moja na kuwasikiliza wamasai wa ngorongoro ambao wanaendelea kugoma barabarani kuzuia kuhamishwa kwao katika maeneo yao ya tangu zamani na kutafuta mwafaka zaidi badala ya sitofahamu inayoendelea sasa.
Ameyasema hayo akiwa katika Jimbo la Mbulu wakati wa Ibada mbele ya waumini na Mawaziri wawili Mwigulu Nchemba na Waziri George Simbachawene na kuongeza kua serikali isiwalazimishe kuhama wala kuwakosesha huduma muhimu za jamii wala kuzuia chakula kuwafikia pia wapewe haki yao ya kupiga kura mahali walipo.
"leo hii uwezi kueleza umma wa Watanzania kua wamasai wanahama kwa hiyari yao kesho yake tunaona wamasai wamejaa barabarani wakilia na kupaza sauti ya kuwa haki yao imepokonywa, Utawala bora undelee kua ni utawala wa sheria,kulinda haki,kuwajibika na kuzuia hali yoyote ya uvunjifu wa amani"
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: