HOSPITAL YA WILAYA YA MBINGA INAKABILIWA NA CHANGAMOTO 4
Автор: RUVUMA TV
Загружено: 2018-12-20
Просмотров: 588
Описание: Hospitali ya Halmashauri ya Mji Mbinga Mkoni Ruvuma inakabiliwa na changamoto kubwa nne zinazopelekea kushindwa kutoa matibabu bora kwa wananchi. Akizungumza na Ruvuma TV on line Mganga Mfawidhi wa Hospital hiyo Dkt Nicholas Kapunga , amesema kwa sasa tiba wanazotoa haziwafikii walengwa ipasavyo hivyo anaiomba serikali isaidie kutatua changamoto hizo ili waweze kutoa huduma za matibabu bora kwa walengwa. Kwa undani wa habari hii tizama video yake.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: