Kristo anavyopindua mila, tamaduni na sheria viwanjani.
Автор: Sonship Spirit Television
Загружено: 2026-03-14
Просмотров: 9
Описание: Kristo viwanjani ni Jukwaa la Roho wa Neema, Vipawa, Ugunduzi na Matendo ya Kinabii. Meza itakayokuwa ikikuangazia Wafalme wa Kikuhani duniani pote wanavyomwakilisha na kumwasilisha BWANA viwanjani katika michezo mbalimbali, na siku ya leo nimekuletea baadhi kutoka kwenye uwanja wa mpira wa miguu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: