WANAWAKE NA WASICHANA ACHENI KUJIDHALILISHA MITANDAONI RC MTAKA
Автор: NJOMBE TV
Загружено: 2026-03-05
Просмотров: 3535
Описание:
Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony Mtaka amewaasa wanawake na wasichana kuwa mstari wa mbele kulinda maadili mtandaoni kufuatia baadhi yao kuonekana wakifanya matukio ya kujidhalilisha yanayoathiri utu wao na kuwaondolea hadhi katika jamii
Mtaka ameyasema hayo wakati akizungumza na wanawake viongozi wa mkoa wa Njombe pamoja na wanafunzi wa shule za msingi walimu na wanavyuo ikiwa ni sehemu ya matukio kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani hapo march 8 mwaka 2026
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: