FAHAMU MAMBO UNAYOTAKIWA KUTUNZA KWA GHARAMA YOYOTE KWENYE MAISHA
Автор: LENZI | Michael Kamukulu
Загружено: 2024-04-30
Просмотров: 479
Описание:
Fahamu mambo matano (5) muhimu sana ambayo kila mtu anatakiwa kuyatunza kwa gharama yoyote anayoiweza kwenye maisha yote.
1. Tunza Imani: kwa sababu huwezi kufanikiwa kwenye kitu usichokiamini
2. Tunza Afya: kwa sabnabu utimamu wako ndio msingi wa kila kitu; ina maana gani kuyapatia maisha na ukashindwa kuyaishi?
3. Tunza fedha: Tumia fedha na mali ndani ya uwezo wako na wekeza kwa ajili ya kesho yako na vizazi vyako
4. Tunza muda: Ya jana sio ya leo, na kesho hatuijui – epuka majuto
5. Tunza marafiki na watu wanaokuthamini: sio kila tabasamu lina furaha nyuma yake.
Jifunze zaidi na Michael Kamukulu kupitia LENZI @lenzi.michaelkamukulu
#LENZI #FikraHadhimu #Mindset #SwahiliPodcast #Mafanikio
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: