ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

WAKULIMA WA KAHAWA WATOA TAMKO LA KUMPONGEZA RAIS, BASHUNGWA AELEZA MSIMAMO WA SERIKALI.

Автор: PHD ONLINE TV

Загружено: 2023-04-06

Просмотров: 130

Описание: Wakulima wa Kahawa katika Wilaya za Karagwe na Kyerwa kupitia Chama Cha Ushirika KDCU Limited wamemshukuru na kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi utawala wake wa miaka miwili kwa kuwezesha kupatikana kwa bei ya Ushindani inayomuwezesha mkulima kunufaika na kujenga utulivu wa Kibiashara katika zao la Kahawa.

Hayo yameelezwa na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Chama Cha Ushirika KDCU, Meltus Biduli katika ufunguzi wa Mkutano wa 36 wa Chama Cha Ushirika KDCU, wakati akitoa tamko la shukrani kwa Rais Samia juu ya mafanikio yaliyopatikana baada ya kuanzishwa kwa utaratibu mpya wa uuzaji wa Kahawa na uendeshajiwa vyama Vya ushirika katika msimu wa kahawa ulioisha.

Biduli amesema Rais Samia amewezesha kuwepo kwa Uwazi katika mnada wa mauzo ya kahawa ambapo bei inayopatikana imeleta tija na hamasa kwa Wananchi kunufaika na kupenda kilimo cha Kahawa.

Amesema katika Utawala wa Rais Samia, Chama Cha Ushirika KDCU kimekuwa Kampuni tanzu inayonunua na kutoa huduma katika zao la kahawa ambapo kwa sasa biashara ya kuuza wa kahawa ikiwa mashambani bila kukomaa imepungua na kuleta utulivu kwa Wakulima ambapo Ubora wa Kahawa umeongezeka

Kwa Upande wake, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amesema dhamira ya Serikali inayaongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuendelea kujenga ustawi mzuri wa kilimo cha Kahawa na kuhakikisha Mkulima anaendelea kunufaika kupitia Ushirika.

“Katika miaka miwili ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya jitihada kubwa na kuhakikisha Wakulima wa Kahawa waliokuwa wamekata tamaa sasa wana Matumaini na wananufaika na kilimo cha Kahawa" Amesema Bashungwa

Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya sita kupitia Wizara ya Kilimo inaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali itakayowawezesha Wakulima kunufaika na kilimo ikiwa ni pamoja na kuweka mustakabali mzuri wa zao la Kahawa kuendelea kuwanufaisha Wakulima.

Aidha, Amesema kuwa mwelekeo wa Serikali ni kuendelea kusimamia Ushirika kuwajibika kwa Mkulima na sio Mkulima kuwepo kwa aijli ya Viongozi wachache katika Chama Cha Ushirika kama ilivyokuwa awali.

Bashungwa ameongeza kuwa baada ya Majadiliano ya maboresho ya kujipanga kukabili changamoto zilizojitokeza katika Msimu ulipita atakutana na Waziri wa Kilimo, Hussen Bashe kumpatia mrejesho wa maoni na mapendekezo yaliyotolewa na Wakulima na Wadau ili yaweze kusimamiwa katika Msimu wa 2023.

Kadhalika, Bashungwa amekipongeza Chama Cha Ushirika cha Karagwe na Kyerwa (KDCU) kwa mwelekeo wanaoendelea nao sasa ambao unaleta Matumaini kwa Wakulima wa zao la Kahawa mkoani Kagera.

Bashungwa ametoa wito kwa Wakulima wa zao la Kahawa kujikita katika uzalishaji wenye tija kwa kutumia Maafisa ugani na pembejeo zinazoendelea kutolewa na Serikali kwa Wakulima.

MWISHO……

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
WAKULIMA WA KAHAWA WATOA TAMKO LA KUMPONGEZA RAIS, BASHUNGWA AELEZA MSIMAMO WA SERIKALI.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

JUBILEI YA MIAKA KUMI (10) NA MAHAFARI YA TANO (5) YA KUHITIMU DARASA LA SABA - KATABARO KATEMPRIS.

JUBILEI YA MIAKA KUMI (10) NA MAHAFARI YA TANO (5) YA KUHITIMU DARASA LA SABA - KATABARO KATEMPRIS.

SZALONA KOŃCÓWKA, YAMAL W OSTATNIEJ SEKUNDZIE! NEWCASTLE - FC BARCELONA, SKRÓT MECZU

SZALONA KOŃCÓWKA, YAMAL W OSTATNIEJ SEKUNDZIE! NEWCASTLE - FC BARCELONA, SKRÓT MECZU

WAZIRI MKUU ANAZUNGUMZA NA WANANCHI WA LAELA-SUMBAWANGA

WAZIRI MKUU ANAZUNGUMZA NA WANANCHI WA LAELA-SUMBAWANGA

🔴#LIVE; SUPA BREAKFAST; LEBANON YAKUBALI YAISHE KWA ISRAEL/ IRAN YAGOMA KUSITISHA VITA NA USA

🔴#LIVE; SUPA BREAKFAST; LEBANON YAKUBALI YAISHE KWA ISRAEL/ IRAN YAGOMA KUSITISHA VITA NA USA

Самая опасная утренняя привычка для печени, о которой молчат врачи | ТРАВНИК

Самая опасная утренняя привычка для печени, о которой молчат врачи | ТРАВНИК

USHAURI, MASWALI NA MAJIBU, MAELEKEZO YA DC GOWELE KIKAO CHA BARAZA LA DDC

USHAURI, MASWALI NA MAJIBU, MAELEKEZO YA DC GOWELE KIKAO CHA BARAZA LA DDC

Mwenyekiti wa Bodi ya TISEZA~Balozi Dr. Azizi Mlima

Mwenyekiti wa Bodi ya TISEZA~Balozi Dr. Azizi Mlima

DKT JAFO ASISITIZA MIUNDOMBINU YA A-LEVEL KISARAWE ZOTE KUBORESHWA NDANI YA AWAMU YA  DKT SAMIA

DKT JAFO ASISITIZA MIUNDOMBINU YA A-LEVEL KISARAWE ZOTE KUBORESHWA NDANI YA AWAMU YA DKT SAMIA

BOJĄ SIĘ CZARNKA? Szokujące ataki po ogłoszeniu kandydata PiS na premiera!

BOJĄ SIĘ CZARNKA? Szokujące ataki po ogłoszeniu kandydata PiS na premiera!

MASWALI NA MAJIBU

MASWALI NA MAJIBU

⚡️Путин СРОЧНО собрал всех! Это НЕ СПАСЕТ экономику РФ? Вот, что будет С ЦЕНАМИ на нефть В ЭТИ ДНИ!

⚡️Путин СРОЧНО собрал всех! Это НЕ СПАСЕТ экономику РФ? Вот, что будет С ЦЕНАМИ на нефть В ЭТИ ДНИ!

МИХАИЛ УЛЬЯНОВ скрывал ЭТО от всех! Жуков, Высоцкий, дети - тайны ШОКИРУЮТ!

МИХАИЛ УЛЬЯНОВ скрывал ЭТО от всех! Жуков, Высоцкий, дети - тайны ШОКИРУЮТ!

СРОЧНО! ИРАН ОТРЕЗАН — 1500 РУССКИХ ФУРГОНОВ В ЛОВУШКЕ. ЭТО НАЧАЛО КОНЦА?

СРОЧНО! ИРАН ОТРЕЗАН — 1500 РУССКИХ ФУРГОНОВ В ЛОВУШКЕ. ЭТО НАЧАЛО КОНЦА?

LRCT NA ELIMU YA SHERIA KUHUSU DHAMANA MKOANI - KAGERA

LRCT NA ELIMU YA SHERIA KUHUSU DHAMANA MKOANI - KAGERA

⚡️Главные ШАГИ К МИРУ! Яковенко НАЗВАЛ УСЛОВИЕ. Смотрите когда ЗАКОНЧИТСЯ

⚡️Главные ШАГИ К МИРУ! Яковенко НАЗВАЛ УСЛОВИЕ. Смотрите когда ЗАКОНЧИТСЯ "СВО"! Сценарий ВАС УДИВИТ

НЕВООБРАЗИМОЕ в ИРАНЕ! Скоро ВСЕ РЕШИТСЯ. ФЕЙГИН разложил по полочкам, что ЖДАТЬ ДАЛЬШЕ

НЕВООБРАЗИМОЕ в ИРАНЕ! Скоро ВСЕ РЕШИТСЯ. ФЕЙГИН разложил по полочкам, что ЖДАТЬ ДАЛЬШЕ

MAKADIRIO YA BAJETI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KYERWA 2026/2027

MAKADIRIO YA BAJETI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KYERWA 2026/2027

MANENO YA MWENYEKITI KWENYE BARAZA LA MADIWANI

MANENO YA MWENYEKITI KWENYE BARAZA LA MADIWANI

Ukweli Kuhusu Dhahabu Mkoani Kagera

Ukweli Kuhusu Dhahabu Mkoani Kagera

DKT JAFO ASISITIZA WANAKISARAWE WAKITUMIE CHUO CHA FDC MZENGA KWA MAENDELEO

DKT JAFO ASISITIZA WANAKISARAWE WAKITUMIE CHUO CHA FDC MZENGA KWA MAENDELEO

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]