YESU KIONGOZI WANGU official video
Автор: Beatrice Daud Official
Загружено: 2026-01-08
Просмотров: 477
Описание:
#BeatriceDaud #
YESU KIONGOZI WANGU
Wimbo unaotukumbusha kuwa Yesu ndiye mchungaji mwema, anayetutembeza katika njia ya haki, hutulinda wakati wa giza, na kutupa amani ya kweli.
Haijalishi unapitia nini—ukiwa naye hutaogopa, hutatangatanga, hutapungukiwa.
“Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu.”
Zaburi 23:1
Kwa Mawasiliano
+255 711 869 402 au 0787185025
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: