THE CLASSIC BEN POL PT1:GODWIN GONDWE NA SIRI NYUMA YA SAFARI YA BEN POL/BILA YEYE ASINGETOBOA M LAB
Автор: KuviFacts
Загружено: 2023-06-14
Просмотров: 2140
Описание:
Ben Pol ni miongoni mwa walio bora kabisa katika Muziki wa R & B Tanzania,ni mshidi wa Tunzo kadhaa wa Tanzania Music Awards na pia amejijenge heshima kubwa kupitia muziki wake,Amefika kupiga stories za maisha yake ya kimuziki na ziada akiwa na Jabir Kuvichaka ,Katika sehemu hii ya kwanza ameeleza namna safari yake miaka ya wali ilivyokua na jinsi ambavyo Mkuu wa wilaya ya Bahi Godwin Gondwe alivyosaidia safari yake pia.
Enjoy na usiache Ku subscribe
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: