MPAKANI TV /Chumba cha wafu Ndengelwa/
Автор: Mpakani TV
Загружено: 2025-12-25
Просмотров: 49
Описание: Chumba kipya cha kuhifadhi miili cha Delights Funeral Home, kimefunguliwa rasmi katika soko la Ndengelwa, kata ya Bukembe Magharibi, eneo bunge la Kanduyi, kaunti ya Bungoma,Mkurugenzi na mmiliki wa kampuni ya delights Harrison Muchiri Geita, akisema kuwa huduma hizo ni kuwapa heshima na mazingira masafi waliotungulia mbele za hakii, na zinalenga kuwahudumia wananchi wa kawaida bila kuwabebesha gharama kubwa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: