Zawadi Nicco - Rudisha Amani Yetu (Official Audio)
Автор: Zawadi
Загружено: 2025-12-24
Просмотров: 85
Описание:
RUDISHA AMANI YETU--ZAWADI NICCO
wimbo huu ni sala na kilio cha moyo kwa Mungu, ukisihi amani, haki, upendo ,utulivu na uzalendo kwa Taifa letu.
Ni wimbo unaowakumbusha *viongozi kutenda haki.
*Wananchi Kuheshimu mamlaka.
*Kanisa kuombea Taifa.
"Heri Wapatanishi maana hao wataitwa wana wa Mungu "(Mathayo:5:9)
🎶Lengo la wimbo huu sio lawama bali maombi. Ni wimbo wa kumkimbilia Mungu arejeshe amani yetu, upendo wetu, umoja na undugu wetu.
🙏Karibu usikilize, uombe pamoja nami na usambaze ujumbe wa amani.
usisahau
👍like 💬comment
🔔subscribe na
🔁share kwa upendo
📱Mitandao ya kijamii
tiktok/Instagram/YouTube
ZAWADI NSEMWA
#Rudisha amani yetu
#Gosple music
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: