ERNEST SUNGURA ACHAGULIWA KUWA KATIBU MKUU WAPC
Автор: SAVVY MEDIA LIVE
Загружено: 2025-07-18
Просмотров: 41
Описание:
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabaraza ya Habari Duniani
(World Association of Press Councils -WAPC).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Julai 18/2025 inasema kuwa Bw.Sungura pia amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Mabaraza ya Habari ya Afrika Mashariki (East Africa Press Councils-EAPC).
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: