Wauguzi waandamana Nakuru wakilalamikia mauaji ya daktari
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2024-01-14
Просмотров: 17900
Описание: Madaktari na wauguzi katika hospitali ya Rufaa mjini Nakuru wanafanya maandamano kushinikiza walinda usalama kukabiliana na utovu wa usalama hospialini. Maandamano hayoyanafuatia mauaji ya daktari mmoja ambaye mwili wake ulipatikana umetupwa kwenye mtaro wa maji hospitalini humo. Mwili wa daktari huyo ulikuwa na majeraha shingoni na sehemu nyingine mwilini.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: