45. Logical Operators Explained in JavaScript | Swahili Tutorial
Автор: Mohamed Hafidh Tz
Загружено: 2025-10-20
Просмотров: 37
Описание:
Katika video hii utajifunza Logical Operators (&&, ||, !) kwenye JavaScript kwa mifano.
Utajua jinsi operators hizi zinavyotumika kwenye if statements na conditions kufanya maamuzi sahihi.
Pia tutaangalia short-circuiting na tips muhimu za kutumia && na || kwa usahihi.
💬 Usisahau kulike, ku-comment, na kusubscribe kwa mafunzo zaidi ya programming kwa Kiswahili
⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐
🎥 Karibu sana kwenye Channel yangu! 🎥
Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu:
🔹 Teknolojia
🔹 Afya
🔹 Mazingira
🔹 Sayansi
🔹 Motisha
…na mengine mengi ya kuvutia! 🎉
📌 Lengo langu ni kukusaidia kujifunza na kukua, huku ukifurahia safari yako ya maarifa. Naamini kuwa kila mmoja ana uwezo wa kufikia malengo yake 💪.
🌟 Kumbuka kujiunga nasi! 🌟
👉 Bonyeza kitufe cha Subscribe ili upate video mpya kila mara
👉 Washa kengele 🔔 ili usipitwe na taarifa mpya
🔗 Ungana nami kwenye mitandao ya kijamii kwa updates zaidi:
📱Jiunge na Whatsapp Group letu:
https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU...
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg...
📱 Telegram Channel: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz
🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz
📺 YouTube: / @mohamedhafidh255
Asante kwa kuwa sehemu ya community yangu! Tunajifunza na kukua pamoja! 🙏
#javascript #logicaloperators #webdevelopment
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: