KIMENUKA! IRAN WAMECHARUKA KUUWAWA KIONGOZI MWENGINE!|ISRAEL YARIPULIWA VIBAYA.
Автор: Yuhoma Tv Media
Загружено: 2026-03-18
Просмотров: 13784
Описание: Hali tete! marekani na israel waendeleza kuuwa viongozi wa ngazi za juu wa iran wamuuwa mwengine tena waziri wa interejensia wa iran pigo kubwa ,iran yajiingiza kitanzi kupuuzia maonyo ya israel juu ya kupachikwa kwa majasusi ndani yao israel yasema watapukutika wote "kama kuku",iran yaapa kulipiza kisasi kwa makombora ambayo hayajawahi kushuhudiwa.subscribe@yuhomatvmedia #iran #vita #marekani #khamenei #makombora
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: