Tazama shangwe la Wabunge kwa Mkuu wa Majeshi, CDF Mkunda
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-05-20
Просмотров: 5512
Описание:
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda pamoja na viongozi wengine wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kuejnnga Taifa wameshangiliwa na wabunge baada ya kutambulishwa.
Wote wamefika Bungeni leo Jumatatu, Mei 20, 2024 wakati ambapo bunge linajadili makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: