BREAKING: Gwaride la Askari Wakishangilia Kupandishwa Vyeo
Автор: Global TV Online
Загружено: 2019-01-08
Просмотров: 11130
Описание:
BREAKING: Gwaride la Askari Wakishangilia Kupandishwa Vyeo
Ni Hafla fupi ya uvishwaji vyeo kwa Askari saba wa Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam baada ya kupandishwa vyeo na IGP Simon Sirro mwishoni mwa mwaka 2018.
Zoezi hili litakamilishwa na Kamanda wa kanda Maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa, kwa niaba ya IGP Sirro kwa kuwavalisha rasmi vyeo hivyo ya nafasi ya koplo.
Askari hao ni
1.F.8889 DETECTIVE CONSTABLE PHILIP
2.G5128 DETECTIVE CONSTABLE HASSAN
3.G6712 DETECTIVE CONSTABLE DOMINIC
4.WP.8038 DETECTIVE CONSTABLE HAPPINESS
5.H.604 DETECTIVE CONSTABLE SAMWEL
6.H.3286 DETECTIVE CONSTABLE NICKO
7.WP.11541 DETECTIVE CONSTABLE IRENE.
Hafla hii imefanyika katika uwanja wa kituo cha polisi Osterbay, chini ya mkoa wa kipolisi Kinondoni jijini Dar es salaam.
Subscribe kwenye chanel yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE:
https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpub
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: