PRODUCT REVIEW | NATURAL DESIRE🍃❤️🍃: Faida, Viambata, Dondoo
Автор: Swahili Naptural
Загружено: 2017-12-11
Просмотров: 3420
Описание:
Hello there!
Katika video hii nawaletea product review kwa mara ya kwanza kabisa na nimeamua kuanza na bidhaa zilizotengenezwa hapa nchini na mwanamke Mtanzania na mjasiriamali, Brenda Cleopa.
KUHUSU BIDHAA ZA NATURAL DESIRE:
*Bidhaa hizi ni za asili kabisa, yaani, zimetengenezwa na vimbata asili na salama kwa binadamu, wanyama na mazingira.
*Intensive Hydrating Hair Cream ni Sh. 30,000/-
*Whipped Shea Butter ni Sh. 25,000/-
FOLLOW @naturaldesire_official Instagram kujua Zaidi.
Subscribe ili usikose video zijazo juu ya bidhaa hizi.
Fuatana nami social media kupitia:
I N S T A G R A M: follow @abeenaturals
S N A P C H A T: add++ abeeprecious
F A C E B O O K: like Abee Naturals
T W I T T E R: follow @abeenaturals
**This is NOT an ad and this video is NOT sponsored**
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: