Kurunzi Live: Je, umri sahihi wa kuoa ni upi?
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-12-02
Просмотров: 388
Описание:
Rais wa Kenya William Ruto amewahimiza vijana kuoa mapema wakiwa na umri wa miaka 25, akisisitiza kuwa familia imara ndio msingi wa taifa imara.
Ruto alihusisha udhabiti wa familia na nguvu ya taifa, akieleza kuwa familia imara ndizo zinazoimarisha misingi ya kijamii na kiuchumi.
Hata hivyo, baadhi ya wakosoaji wanasema wito wa Rais Ruto kuwataka vijana waoe mapema umepuuza changamoto halisi za kiuchumi na ajira ambazo vijana wengi hukabiliana nazo.
Je, upi umri sahihi wa kuoa?
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: