Msongamano wa wanafunzi shuleni Mwiki
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2018-05-19
Просмотров: 11611
Описание:
Mtazamaji hebu tafakari kuhusu shule yenye wanafunzi elfu tatu na mia tatu katika ardhi ya ukubwa wa mita 86 kwa 84 pekee. Ndiyo taswira ya shule ya msingi ya mwiki kaunti ya Kiambu. Je, wanaketi vipi? Wanasoma vipi? Kadzo Gunga alizuru shule hiyo na kuandaa taarifa ifuatayo.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
http://citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
/ citizentvkenya
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: