Kenya na Ujerumani zaandaa mashauriano muhimu
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2026-01-21
Просмотров: 229
Описание:
Kenya inategemea uhusiano dhabiti na ushirikiano wa kimkakati baina yake na Ujerumani ili kuimarisha ushirikiano katika nyanja zenye umuhimu wa kitaifa. Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi leo aliandaa mazungumzo ya kina yanayonuiwa kunufaisha pande mbili na Waziri wa masuala ya kigeni wa Ujerumani, Dkt. Johann Wadephul, ambaye yuko humu nchini kwa ziara rasmi ya siku mbili.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: