HOFU TEHRAN: WANAJESHI 20,000 WA MAREKANI WASHUSHWA MIDDLE EAST CHINI YA ULINZI MKALI
Автор: TMC NEWS TV
Загружено: 2026-03-14
Просмотров: 2609
Описание:
Mvutano unaendelea kuongezeka katika eneo la Middle East baada ya taarifa kuthibitisha kuwa wanajeshi takribani 20,000 wa Marekani wamewasili katika eneo hilo na kuanza kushushwa kwa ujasiri katika vituo mbalimbali vya kijeshi ili kuimarisha usalama.
Katika operesheni hiyo, ndege maalum ya kijeshi Lockheed Martin KC-130J Harvest HAWK imeonekana angani ikitoa ulinzi wa karibu huku ikifanya majukumu ya upelelezi, usafirishaji wa wanajeshi na kusaidia operesheni nyingine za kijeshi.
Hatua hii ya Marekani imeongeza mjadala mkubwa kimataifa kuhusu hali ya usalama katika Mashariki ya Kati na uwezekano wa kuongezeka kwa mvutano wa kijeshi katika eneo hilo.
#Marekani #MiddleEast #MilitaryNews #BreakingNews #KC130J #HarvestHAWK #WorldNews
#Jeshi #HabariZaDunia #Vita #tmcnews565
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: