Upinzani: Kupunguzwa kwa ushuru unaotozwa mishahara ni mbinu ya kisiasa
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2026-02-07
Просмотров: 386
Описание:
Viongozi wa upinzani wamekosoa pendekezo la kuondoa ushuru unaotozwa mishahara na serikali ya Kenya Kwanza kwa wafanyakazi wanaopata mshahara wa chini ya shilingi alfu-30. Viongozi hao akiwemo kiongozi wa DAP-K Eugene Wamalwa, na gavana wa Trans Nzoia George Natembea, walisema pendekezo hilo sio la haki lakini ni njama ya kisiasa katika kutuliza hasira ya wananchi na kuonewa huruma kabla ya uchaguzi Mkuu ujao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: