Upi ni Urathi wa Kadinali Pengo?
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-02-20
Просмотров: 760
Описание:
Kifo cha Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo aliyekuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki la Dar es Salaam nchini Tanzania kinahitimisha enzi ya mojawapo wa viongozi wa dini waliokuwa na ushawishi mkubwa kwenye taifa hilo la Afrika Mashariki.
Pengo alifariki dunia usiku wa Alhamisi ya Februari, 19, 2026, akiwa na umri wa miaka 82. Alitangazwa kuwa Kadinali mwaka 1998.
DW imezungumza na Askofu Methodeus Kilaini, aliyewahi kuwa Mkuu wa Jimbo Katoliki la Bukoba huko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania kusikia urathi unaoachwa na Kadinali Pengo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: