DENI YA DHAMBI BY THEOPHILE SB
Автор: High step TV
Загружено: 2021-12-14
Просмотров: 24171
Описание:
Deni yangu ya dhambi
Yesu amelipa
Kwake msalabani
Nilipewa uzima
[chorus]
Deni ya dhambi
Msalabani
Ilimalizikia
Ni huru kabisa
[2]
BwanaYesu asema,
Mwanangu dhaifu
Uwezo na ushindi
hupatikana kwangu
[3]
Bwana, kweli naona,
Nguvu zako pekee,
Huondoa ukoma
niwe kipya kiumbe.
[4]
Sina wema moyoni
Nidai neema
Nakubali kabisa
Kwa damu kusafiwa.
Hata huko mbinguni,
Miguuni pake,
“Yesu alinifia”
Nitaimba milele
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: