IBADA YA KWARESMA | Maombi ya Nguvu, Zaburi za Ulinzi, Neno la Mungu
Автор: Mimi Na Mungu
Загружено: 2026-02-21
Просмотров: 74
Описание:
IBADA YA MAOMBI NA ZABURI | IBADA YA KWARESMA | Maombi ya Nguvu, Zaburi za Ulinzi, Neno la Mungu
Karibu kwenye Ibada ya Maombi na Zaburi ya Kwaresma 🙏
Hii ni ibada maalum ya kipindi cha Kwaresma, muda wa toba, maombi, tafakari, na kukaribia Mungu zaidi. Sikiliza Zaburi zenye nguvu, maombi ya kina, na ujumbe wa neno la Mungu utakaoimarisha imani yako na kukupa amani ya moyo.
Ibada hii ni nzuri kusikiliza:
✨ Asubuhi kabla ya kuanza siku
✨ Usiku kabla ya kulala
✨ Wakati wa fasting na prayer kipindi cha Kwaresma
✨ Unapohitaji ulinzi, faraja, au breakthrough ya kiroho
Ndani ya ibada hii utapata:
Zaburi za ulinzi dhidi ya wivu, chuki, na nguvu za giza
Mistari ya Biblia ya kukupa nguvu na matumaini
Simulizi za Biblia zenye mafundisho ya maisha
Ujumbe wa kiroho wa kukuimarisha wakati wa Kwaresma
Maombi ya familia, kazi, na maisha ya kila siku
👉 Fanya hivi sasa:
Like 👍 ibada hii
Comment maombi yako
Subscribe kwa ibada zaidi za maombi, Zaburi, na mafundisho ya Biblia kila wiki
00:00 — Significance ya Number 40 kwenye Biblia
07:30 — Simulizi ya Deborah: Mwanamke shujaa na kiongozi wa Mungu
15:30 — Ujumbe Maalum wa Jesus Christ kwa maisha yako leo
19:50 — Bible stories za onyo dhidi ya tamaa za kimahaba
24:21 — Mistari ya Biblia ya kukupa nguvu, tumaini, na uvumilivu
28:23 — Zaburi za kushinda wivu, chuki, na roho mbaya
ibada ya kwaresma, ibada ya maombi na zaburi, kwaresma prayer swahili, lent prayer swahili, zaburi za nguvu, maombi ya usiku, swahili christian prayer, psalms in swahili, zaburi za ulinzi, spiritual warfare prayer swahili, bible reading swahili, neno la Mungu swahili, maombi ya familia, morning prayer swahili, prayer before sleep swahili, swahili worship, ibada online swahili, maombi ya toba, lent devotional swahili
#Kwaresma #IbadaYaMaombi #Zaburi #Maombi #SwahiliPrayer #ChristianSwahili #LentPrayer #BibleSwahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: